Yesu Awatuma Wanafunzi Wake Kumi Na Wawili

10 Ndipo Yesu akawaita wanafunzi wake kumi na wawili, akawapa mamlaka ya kutoa pepo wachafu na kuponya magonjwa yote na udhaifu wa kila aina. Majina ya hao wanafunzi kumi na wawili ni haya:

Read full chapter