Add parallel Print Page Options

Yesu Ajaribiwa na Shetani

(Mt 4:1-11; Lk 4:1-13)

12 Kisha baada ya kutokea mambo haya Roho Mtakatifu alimchukua Yesu na kumpeleka nyikani,[a] 13 naye akawa huko kwa siku arobaini, ambapo alijaribiwa na Shetani. Yesu alikuwa nyikani pamoja na wanyama wa porini, na malaika walimhudumia.

Read full chapter

Footnotes

  1. 1:12 Roho Mtakatifu … nyikani Yaani Yesu aliondoshwa kwa nguvu na kupelekwa nyikani.